AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy: Kozi ya Jinsi ya Kukabiliana na Uraibu wa Michezo ya Kubahatisha (Kamari/Kubeti/Mkeka/Bahati Nasibu)

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Nov 20, 2022
∙ Paid

Leo Novemba 20 tumesaliwa na wiki 6 kamili kabla ya mwaka 2022 kufikia ukingoni. Sasa, japo kila wakati katika mwaka husika ni mwafaka kufanya marekebisho ya kimaisha, uzoefu unaonyesha kuwa dhamira zinazowekwa mwishoni au mwanzoni mwa mwaka huwa na mafanikio zaidi.

Kwahiyo, kama moja ya changamoto ulizokumbana nazo mwaka huu ni uraibu wa kamari/mkeka/ku…

User's avatar

Continue reading this post for free, courtesy of Evarist Chahali.

Or purchase a paid subscription.
© 2026 Evarist Chahali · Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start your SubstackGet the app
Substack is the home for great culture