Jana Okton 8, kocha wako alihitimu kozi ya siku 100 ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) aliyoianza Julai 1 mwaka huu.
Kwa hakika sio tu kocha wako amejifunza mengi kwenye kozi hiyo bali pia uelewa wake kuhusu akili mnemba umepanuka vya kutosha.
Wakati anaanza kozi hiyo, alikuwa na imani kwamba kama mtu ambaye anatoka kwenye taaluma ya intelijensia, …




