Baadhi ya mbinu za kukusaidia kupata kitu unachokitaka (iwe kazi, biashara, kipato, cheo, nk)
1. Kwanini unataka kitu hicho? Usipopata jibu achana nacho.
2. Pata mwongozo. Moja ya faida ya mitandao ya kijamii ni kutupatia lundo la watu tunaoweza kuwaomba mwongozo au kuwafuatilia
kama "role models."
3. Toka kwenye "comfort zone" yako. Kitu chochote kipya kitakufanya ujione kama upo ugenini. Kutoka kwenye "comfort zone" yako hujumuisha pia ku…