Changamoto unazozishukuru
Maisha yangekuwa mazuri sana kama yasingekuwa na changamoto.
Na japo watu wengi hudhani ni wao tu wanaokabiliwa na changamoto, ukweli ni kwamba kila mwanadamu ana changamoto.
Wakati huyu ana changamoto ya kodi ya nyumba, yule ana changamoto ya kusalitiwa na mwenza wake.
Na wakati huyu ana changamoto ya maradhi, yule ana changamoto ya uchunguzi unaofanyw…