Heri ya Krismasi kutoka kwa Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil
Habari Media Project inayojumuisha Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil, kijarida cha Barua Ya Chahali, blogu ya Ujasusi, na duka la vitabu la ChahaliBooks inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi.
Endapo itakupendeza, kuna zawadi mwafaka ya Krismasi/Mwaka Mpya kutoka kwa kocha wako
Endapo nawe ungependa kumzawadia, ombi lake pekee kwako ni kumsaidia k…