Jiepushe na Watu "Marafiki" Wanaokukumbuka Pale Tu Wanapohitaji Kitu Kwako
Jana ilikuwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa kocha wako. Anawashukuru mliomkumbuka kwa salamu. Hana kinyongo na mliomsahau japo yeye huwakumbuka mara kwa mara kwa njia ya makala kama hii.
Siku kama ya jana - birthdays - humsaidia sana kocha wako kuwaondoa watu wasio na umuhimu katika maisha yake. Sio kama wako wengi ila hata hao wachache nao hupitia m…