Kijarida hiki kinapenda kuwaomba samahani kwa kutowaletea machapisho yoyote tangu kuanza kwa mwaka huu 2025. Hilo lilitokana na sababu zilizokuwa nje ya kijarida hiki. Hata hivyo, kijarida kinawaahidi kuwaletea makala mpya angalau mara moja kila wiki. Ikikupendeza, kiunge mkono kijarida kwa kuwa mwanachama wa kulipia. Lakini pia unaweza kukisapoti kwa k…
© 2025 Evarist Chahali
Substack is the home for great culture