#JinsiYaKuwaMtuBora: jifunze kukataliwa (practice rejection)...kama mwanafalsafa Diogenes
Mwanafalsafa wa Kigiriki Diogenes, alikuwa na tabia ya kwenda kwenye sanamu kuiomba impatie hiki au kile. "Nina njaa. Nipatie chakula," alisikika Diogenes mara kadhaa.
Watu walipomshangaa aliwaeleza kuwa anafahamu fika sanamu hiyo haitomsikia wala kumpatia anachoomba. Ila anachofanya hapo ni kujifunza kukataliwa (practising rejection).
Funzo: dunia hain…