#JinsiYaKuwaMtuBora: Kama ambavyo unakwenda gym kwa ajili ya mazoezi ya viungo, unaweza pia "kuupeleka ubongo wako gym." No sio "gym kama gym" bali kwa mbinu hizi
Jan 30
Watu wengi wanafahamu faida ya mazoezi ya viungo, na sehemu ambayo watu wengi hupendelea kwenda kufanya amzoezi hayo ni kwenye gym.
Kama ilivyo kwa viungo, ubongo nao unahitaji mazoezi. Na kuufanyisha ubongo mazoezi kunaelezwa kama “kuupeleka ubongo wako gym.”
Na kama ambavyo mazoezi ya viungo hayahitaji ushinde gym kutwa nzima, mazoezi ya ubongo na…