#JinsiYaKuwaMtuBora: kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mafanikio na furaha?
Makala hii ilichapishwa Desemba 13, 2018 katika akaunti ya kocha wako huko insta.
Mtumishi wako #EvaristChahali angependa kufahamu kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya furaha na mafanikio
.
Na jibu haliwezi kuwa "vyote muhimu." Hebu tafakari kidogo kisha ndo uendelee na mada hapa chini.
Kwangu mie jawabu langu ni rahisi. FURAHA. Kwa sababu nyingi tu, miongoni…