#JinsiYaKuwaMtuBora: Kuna nyakati ambapo "kukubali yaishe" ni sehemu ya mafanikio pia
Kwanza samahani kutoka kwa kocha wenu kutokana na kupotea kitambo. Kwa “wageni wa mahala hapa”, kocha ni mie mtumishi/jasusi wenu. Najiita kocha kwa maana ya tafsiri ya kiingereza ya “life coach” yaani kocha (mwalimu) wa maisha. Na dhumuni kubwa la AdelPhil Online Academy ni kufundisha na/au kuzungumzia kuhusu mbinu mbalimbali za maisha.
Moja ya sababu z…