AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy

#JinsiYaKuwaMtuBora: Majambazi 7 wa "Amani Yako" Unaopaswa Kuwatimua Haraka Sana

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jan 19, 2022
∙ Paid

Muda ni ghali. Na hakuna uwezekano wa kufidia muda uliopotea. Leo, Jumatano ya Januari 19, 2022 ni “muujiza ambao kamwe hautojirudia.” Siku hii. Dakika hii. Saa hii. Wiki hii. Mwezi huu. Mwaka huu. Kamwe vitu hivi havitojirudia.

Yes, mwakani kutakuwa na Januari 19 kama leo lakini haitokuwa mwaka 2022 bali 2023. Kesho kutakuwa na asubuhi, mchana, jioni na…

User's avatar

Continue reading this post for free, courtesy of Evarist Chahali.

Or purchase a paid subscription.
© 2025 Evarist Chahali · Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start your SubstackGet the app
Substack is the home for great culture