#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu zaidi za jinsi ya kuwa mtu mwenye kujiamini (confident)
Kocha wako ni mmoja wa watu wanaojiamini sana. Lakini haikuwa hivyo siku zote, hasa kwa vile kama baadhi yenu mnavyofahamu, kocha wenu ni mtu mwenye aibu. Na bila shaka wengi wenu pia mwafahamu kuwa aibu ni moja ya vitu vinavyochangia kutojiamini.
Kwahiyo kocha wako amemudu vipi kuwa mtu mwenye kujiamini licha ya kuwa mtu mwenye aibu?
Kutambua thamani: …
Keep reading with a 7-day free trial
Subscribe to AdelPhil Online Academy to keep reading this post and get 7 days of free access to the full post archives.



