AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy

#JinsiYaKuwaMtuBora: Mwongozo rahisi kuhusu STOICISM - moja ya mbinu bora kabisa kuwa mtu imara [Sehemu ya Kwanza: STOICISM ni nini?]

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Feb 14, 2023
∙ Paid
STOICISM

Karibu katika kozi hii muhimu ya STOICISM, moja ya nyenzo bora kabisa kukujenga kuwa imara na kwa ujumla kukufanya kuwa mtu bora, sambamba na kuboresha ubora wako. Mimi ni muumini wa STOICISM, na ni shuhuda kwa jinsi imenisaidia mno kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani.

Kutakuwa na somo jipya kila wiki.

Karibu sana.

Somo la Kwanza

User's avatar

Continue reading this post for free, courtesy of Evarist Chahali.

Or purchase a paid subscription.
© 2025 Evarist Chahali · Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start your SubstackGet the app
Substack is the home for great culture