#JinsiYaKuwaMtuBora: ni muhimu kujibidiisha kuitumikia jamii lakini kwamwe usisahau kujitumikia nawe pia, ni kujijali si ubinafsi
Mtumishi wako #EvaristChahali nilikuwa mwandishi wa makala kwa takriban miaka 20 hivi, tangu 1997 hadi mwaka jana 2017.
Kilichopelekea nijiingiza kwenye uandishi ni ushauri wa rafiki yangu mmoja aliyekuwa mwandishi wa habari maarufu enzi hizo.
Mie na "mob" yangu UDSM tulikuwa na maskani yetu, chini ya ATB (Kwa mnaoijua UDSM) kwenye direct view ya kuingia …