#JinsiYaKuwaMtuBora: ujanja si kujua tu nini cha kufanya bali pia kujua nini cha kutofanya
Mara nyingi tunasisitizwa kuhusu nini cha kufanya. Na mara nyingi, tunasikia kuhusu nini cha kutofanya katika mazingira ya amri, ambapo kwa kiasi kikubwa ni lazima na si hiari.
Hata hivyo, ili kupata ufanisi maishani, ni muhimu kutengeneza orodha ya nini cha kutofanya pia.
Na huu ni mfano rahisi
Vitu vinavyokutoa relini na kukupotezea muda wako: Vitu hi…