Pengine hata muda huu unaposoma makala hii, kuna sauti inaongea kichwani mwamko. Pengine inakupongeza kwa kuamua kusoma makala hii, au kukupongeza kwa uamuzi wako ku-subscribe kutumiwa kijarida hiki.
Lakini pia huenda sauti hiyo sio tu inakulaumu kwa kudai “unapoteza muda wako” lakini pengine inaenda mbali zaidi na kukutisha kuwa “huyo Evarist Chahali n…




