#JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu 7 zinavyohujumu uwezo wako wa kukumbuka vitu
Transience: hii ni “dhambi” isiyo ya makusudi. Kadri binadamu anavyozeeka ndivyo kadri uwezo wake wa kukumbuka vitu unavyopungua.
Absent-mindedness: ni hali ambapo upo kwenye maongezi na mtu au una sikiliza kitu lakini akili yako ipo kwingineko.
Blocking: ni hali ambapo unajua cha kusema lakini hukikumbuki. Ni kama kigugumizi cha kumbukumbu.