#JinsiYaKuwaMtuBora: wanasayansi ya ubongo (neuroscientists) wanataja tabia hizi 5 zinazosaidia ubongo wako kuwa na ufanisi mkubwa
Kwa mujibu wa wanasayansi ya ubongo (neuroscientists) tabia hizi 5 zitausaidia ubongo wako kuwa na ufanisi mkubwa.
Jipongeze kwenye japo ushindi kiduchu (small wins)
Zingatia mazoezi ya mwili