#JinsiYaKuwaMtuBora: Wanasema "afya ni utajiri mpya" (health is the new wealth). Njia 10 rahisi za kuishi maisha ya afya bora
Wanasema “afya ni utajiri mpya” kwa kimombo “health is the new wealth”. Masikini mwenye afya iliyo bora ni “tajiri”(kiafya) kuliko milionea mwenye kansa, au ukimwi. Afya ni kitu kimoja muhimu mno katika maisha yetu. Kimsingi, afya ni msingi wa maisha yetu.
Hapa kuna orodha ya vitu 10 rahisi vya kukuwezesha maisha yenye afya bora.
Kula vizuri.