Kijarida kipya cha kozi mbalimbali za "AdelPhil Online Academy"
Unakaribishwa kujiunga na AdelPhil Online Academy, chao cha mtandaoni kinachoendeshwa Barua Ya Chahali. Kama usingependa kutumiwa makala mbalimbali, bonyeza hapa kujiondoa.)
AdelPhil Online Academy inatoa kozi za bure na za kulipia. Moja ya kozi hiyo ni endelevu ya “Jinsi Ya Kuwa Mtu Bora” (Personal Development). Pamoja na mengi yaliyomo kwenye kozi hiy…