Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: mkakati wa "ARC" - Accept (kubali), Reject (kataa), Change (badilisha).
Mada ya leo ni fupi tu.
Ukikumbana jambo, kuna njia kuu tatu za kukabiliana nalo. Njia hizo kwa pamoja huunda “mkakati wa ARC” - Accept (kubali), Reject (kataa), Change (badilisha).
Ni hivi: kama jambo ni zuri au linaendana na matakwa yako, njia bora ya kudili nalo ni kulikubali. Ukiulizwa kama unaweza kushika majukumu flani ambayo pengine umeyatamani kit…