Mchakamchaka wa maisha hatuishi mpaka tunaingia kaburini. Lakini mchakamchaka huo usipodhibitiwa, unaweza kukuingiza kaburini kabla ya muda wako. Naam, msongo wa mawazo (na hali nyingine zinazotokana na Mwili na/au ajili kuelemewa) unaweza kupelekea mauti.
Somo hili fupi linakupatia mbinu kadhaa za kupunguza “kasi ya maisha,” na hapohapo kukusanya nguvu …



