Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: tenga wasaa wa kujipongeza
Mie kocha wako ni mmoja wa Watanzania wanaoongoza kwa kutukanwa mtandaoni. Baadhi ya wanaonitukana nawafahamu japo idadi kubwa ni watu nisiowajua. Kosa langu pekee linalosababisha nitukanwe mara kwa mara ni kutumia haki yangu ya kikatiba na wajibu wangu wa kiraia kusema kile nachoamini ni kweli.
Well, pengine nachoona ni kweli ni uongo kwa mtu mwingine. …