Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu 10 vya kukumbuka pindi maisha "yanapopoteza maana"
Pengine somo hili limekujia huku unapitia wakati mgumu kiasi cha kuhoji maisha yana maana gani kwako.
Japo inaweza kuwa sio ufumbuzi wa yanayokusibu, “habari njema” japo kiduchu ni ukweli kwamba “haupo peke yako.”
Naam kila mmoja wetu “anapitia hili au lile.” Bila shaka unakumbuka mfano niliotoa kwenye somo lililopita kuhusu tajiri niliyekutana nae kijiji…