Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu 15 vya Kufanya "Kutuliza Akili."
Udogoni niliishi jirani na mtu mmoja ambaye kwa viwango vya kijijini alikuwa tajiri mkubwa. Na kutokana na utajiri wake, hata akijibu shikamoo, ilikuwa big deal.
Fast forward miaka kadhaa baadaye, niliporudi kijijini kwa likizo kutoka Ughaibuni, tajiri yule alinialika kupata mlo nae nyumbani kwake. Ilinitafakarisha sana kuhusu jinsi mabadiliko kwenye “so…