AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy

Tahajudi (meditation)

Kozi ya Wiki Nane ya TAHAJUDI (meditation): Wiki ya Pili - Kukabiliana na Hali Ya Kupoteza Mwelekeo Kimaisha

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Nov 08, 2024
∙ Paid
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Karibu katika kozi hii ya wiki nane ya TAHAJUDI (meditation). Hii ni nyenzo muhimu sana ya kukabiliana na changamoto kama vile msongo wa mawazo, kukata tamaa, kusikia uchungu, kuwa na hasira, wasiwasi, na hisia kama hizo.

Ili uweze kuimudu kozi hii na iwe na faida kwako ni muhimu kutokosa hata somo moja tangu kozi ilipoanza Novemba Mosi kwa wiki zote nane mfululizo.

Kila somo linaambatana na video yenye maelezo rahisi kwa lugha ya Kiswahili.

Karibu sana, na ikikupendeza, mkaribishe na mwenzio

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali · Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start your SubstackGet the app
Substack is the home for great culture