Kwaheri Februari. Karibu Machi: Tahajudi ya mwezi mpya
Heri ya mwezi mpya wa Machi. Fanya tahajudi hii fupi ya kuanza mwezi huu vema. Hapo ulipo, tafuta sehemu iliyotulia. Kama hakuna basi hata baadaye au usiku ni sawa pia. Na sehemu iliyotulia inaweza kuwa msalani pia, ikibidi.
Fumba macho. Vuta pumzi ndani taratibu kwa sekunde 5 hivi. Bana pumzi kwa sekunde 5 hivi. Pumua nje kwa kutumia mdomo kwa sekunde β¦