Kwa wenyeji maeneo haya, mnafahamu kuwa kocha wenu nje ya hapa ni Jasusi.
Na japo akiwa hapa anajibidiisha kutoleta habari za huko hapa, lakini kwa vile ufundishaji wa kocha wako hujikita kwenye mifano hai hususan inayomhusu, kuna nyakati hulazimika kugusia yaliyojiri/yanayojiri kwenye maisha kama Jasusi.
Na miongoni mwa mabalaa mengi aliyokumbana nayo n…