Mapitio ya Mwaka (the Annual Review) ya mwaka huu 2024 unaoelekea ukingoni
Katika maisha yetu ya kila siku, tunakumbana na changamoto mbalimbali ambazo hutufanya kuweka malengo na mipango kwa matarajio ya kuboresha maisha yetu, kufanikisha miradi, au kutimiza ndoto zetu.
Mwisho wa mwaka ni wakati wa kipekee ambao hutupa nafasi ya kutathmini safari yetu kwa mwaka mzima, kuchambua tulipotoka, tulipo sasa, na tunapokusudia kueleke…