Pasua Kichwa ya Vipaumbele Fyongo
Jana kocha wako alikuwa anaongea na mtu mmoja mwerevu sana kuhusu nini kifanyike kuwaamsha Watanzania kuhusu changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Kocha wako akamweleza mwerevu huyo kwamba suala hilo ni pasua kichwa kwelikweli, na yeye (kocha wako ni shuhuda).
Akaeleza jinsi jitihada za kujitolea kuwatumikia Watanzania zinavyoishia kupuuzwa.
Na akampatia m…