Safu mpya ya #STOICISM (Ustoa)- moja ya mbinu bora kabisa kuwa mtu imara [Sehemu ya Kwanza: Ustoa ni nini?]
Karibu katika kozi hii muhimu ya Ustoa (Stoicism), moja ya nyenzo bora kabisa kukujenga kuwa imara na kwa ujumla kukufanya kuwa mtu bora, sambamba na kuboresha ubora wako. Mimi ni muumini wa Ustoa, na ni shuhuda kwa jinsi imenisaidia mno kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani.
Kutakuwa na somo jipya kila wiki.
Karibu sana.