#STOICISM (Ustoa) - moja ya mbinu bora kabisa kuwa mtu imara, ilimsaidia Mandela kukabiliana na changamoto za jela [Sehemu ya Pili: Chimbuko la Ustoa]
Chimbuko la Ustoa linaweza kufuatiliwa hadi katika ulimwengu wa kale, ambako lilianzishwa na mwanafalsafa mashuhuri aitwaye Zeno wa Citium.