Kocha wako anaomba radhi kwa ukimya uliojitokeza hapa katika ambapo kozi hii ilisitishwa kidogo. Ni furaha kubwa kuendelea tena. Kumbuka kuwa endapo una swali, ushauri au hata kukosoa, usisite kumfahamisha kocha wako.
Kabla ya kuingia katika somo la nne, ni lazima kusoma masomo matatu yaliyotangulia, yaani somo la kwanza
Somo la pili
Na somo la tatu