Thibitisha Endapo Unataka Kuendelea Kutumiwa Kijarida Hiki Bora Kabisa Kinachotoa Elimu Ya Bure
Jukwaa la Substack linalowezesha kijarida hiki kukufikia wewe msomaji linafanya mapitio ya watu waliojisajili (subscribers). Lengo kuu ni kuhakikisha wachapishaji hawatumia vijarida vyao kwa watu ambao hawakujisajili kupokea vijarida hivyo.
Kwahiyo endapo unahitaji kuendelea kutumiwa kijarida hiki bora kabisa kwa elimu ya bure, thibitisha hilo utakapopokea baruapepe kutoka Substack.
Baruapepe utakayotumiwa itakuwa kama hii hapa pichani chini. Endapo utahitaji kuendelea kutumiwa kujarida hiki, bonyeza hapo palipoandikwa Confirm Subscription
Chuo cha mtandaoni cha AdelPhil (AdelPhil Online Academy) kimeandaa lundo la kozi muhimu kwa ajili ya mwaka 2026, na zitakuwa zikitolewa kila wiki.
Kocha Wako Evarist



