Umeshawahi kusikia kuhusu "Hedonic Treadmill"? Kwa kifupi ni "binadamu hatosheki". Mbinu tatu za kutosheka kimaisha
Kwa kifupi kabisa, “Hedonic Treadmill” inamaanisha kwamba wakati katika “treadmill” ya gym unaweza kuweka spidi na muda, na ukafika lengo kusudiwa, na kuridhika, kwenye maisha ni tofauti.
Ukipata mia unataka alfu. Ukipata alfu unataka laki. Ukipata laki unataka milioni. Ukipata milioni unataka bilioni. Na kadhalika. Na kadhalika.
Ndio maana utaona mfany…