Vizuri Hupatikana Bure, Changamoto ni Kuvitambua
Jana kocha wako alipata furaha kubwa baada ya kutumiwa ujumbe na wamiliki ya mtandao wa kijamii wa picha sogezi wa YouTube kwamba chaneli yake iitwayo JasusiTV umefikisha waliojisajili (subscribers) 25,000.
Ukilinganisha na watu wengi maarufu, idadi hiyo ni kama tone kwenye bahari. Lakini kwa kocha wako anayeamini katika “nguvu ya mdogo mdogo”, hii iliku…